UNGANENI PAMOJA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA AFYA NGAZI YA JAMII

Kaimu Katibu Tawala  wa mkoa  wa Pwani Bi.Savera Salvatory akizungumza katika  ufungaji wa  hafla ya kutembelea  mradi wa Afya Tek na Usimamizi Shirikishi  juu ya Masuala ya Afya katika halmashauri na Manispaa ya Kibaha . Kiongozi wa Mradi wa Afya –Tek Dkt.Angel Dillip  ikiwa ni katika hafla ya majumuisho mara baada ya  kutembelea  mradi wa Afya Tek na Usimamizi Shirikishi  juu ya Masuala ya